Invest kwenye simu kali, kama ni kwaajili ya biashara yako.
Kama mfuko uko vema, nunua iPhone 13 kwenda juu, Galaxy S22 kwenda juu, Pixel 6 kwenda juu.
Kama budget tight, nunua Pixel 3a hadi 5a unapata ni nzuri.
Maana huwezi kila siku ukawa unaenda studio kwaajili ya picha za bidhaa unayouza wewe.