Tupeane maujanja ya Excel

Naomba maujuzi ya kuandika barua kwa ku2mia excell..
Hapo lazima ujue matumizi ya vitu km kumerge cell, kuzicombine nk lkn ni bora tu ukatumia word ila km una list ya vitu ambayo ipo kwenye excel na unataka kuoanisha au kuinsert kwenye barua iliyo kwenye word unaweza kutumia mail and merge
 
Nambieni jinsi ya kujiunga na hilo grupu la telegram sasa na mm nijiunge
 
Dah Kuna watu wachawi aiseee, big up kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK mkuu! Nawezaje kuzibadili numbers zilizo ktk asilimia kuwa ktk number za kawaida.
Nauliza hivyo kwa kuwa nimetumia data kutengeneza histogram graph, sasa upande wa y-axis unaonyesha number zilizo na % zake. Nataka ni-format number hizo ambapo badala ya kuonekana na % zake zionekane namba tu. Mfano, 40% ieonekane 40. Thanks in advance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Select cells zote then right click >> format>>badilisha hiyo data type iliyoandikwa percentage na uweke General
 
Hapo lazima ujue matumizi ya vitu km kumerge cell, kuzicombine nk lkn ni bora tu ukatumia word ila km una list ya vitu ambayo ipo kwenye excel na unataka kuoanisha au kuinsert kwenye barua iliyo kwenye word unaweza kutumia mail and merge
Mkuu Tuwasiliane Pm nashida nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sumit Bansal
unaweza mcheki huyo kwa self training youtube yupo vizuri pia
 
Vipi ulifanikiwa?
 
40% ni sawa sawa na 0.4 >> (40/100×1).
Ukishaandika heading ya Score (%) au Marks (%) haina haja tena ya kuweka 40%, just type 40
Lengo langu ni kwamba hizo data za y-axis pia nime-set zionekane as "data labels". Nachofanikiwa ni kubadili tu hizo namba (e.g from 40% to 0.4 and not 40% to 40).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…