Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Vuta kohozi meza mkuu kitu kama bluebandAsa mda mwengine unakuwa upo kwenye daradara afu watu wapo kilaa sehemu apo unafanyaje kupenga kamasi na huna kitambaa
disgusting![emoji57]Vuta kohozi meza mkuu kitu kama blueband
Au anayameza tuSimple tu chek kushoto afu kulia then pyaaaa!!afu unajipangusia Shati au unayavutia kinywani unameza taraatiiibuu kama mrenda sasa chagua ikufaayo chief
Unapengea mkono wa kulia halafu unampaka kwenye matako abiria mwingine halafu yakobaki kidogo unamsalimia mtu kwa kushikana mikono.!Asa mda mwengine unakuwa upo kwenye daradara afu watu wapo kilaa sehemu apo unafanyaje kupenga kamasi na huna kitambaa
Soma jina la mleta mada utaelewa kitu.!Karne hii mtu anataka afundishwe ujinga ivo?