Tupeane mawazo

Tupeane mawazo

Joined
May 23, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Natumai muwazima wa afya .Kuna wakati/ama umri ambao kuna jambo unaona ungelifanyaga lingekusaidia zaidi mbelini ama kukuweka fiti kiuchumi .Ulifikiria jambo gana? ukiwa na umri kati ya miaka (19~22)?????
 
Kama kuna namna unaweza shika hela flani zuia hata ekali moja ya shamba, haijalishi ni wapi just fanya hivyo. Usije kushukuru mtu yeyote, jishukuru mwenyewe after that.
 
Back
Top Bottom