MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 658
- 2,081
Hii ni kwa watumiaji wa Mabasi ya Mwendokasi tuu jijini DSM.
Kwa kuwa Serikali haina mpango wa kupunguza adha inayotukabili abiria wa mabasi haya.
Na kwakua sisi abiria hatuna mpango wakuilazimisha serikali kufanya hivyo.
Ni vyema sisi abiria tukapeana mbinu mbalimbali, zitakazotusaidia kama
- kutuepusha kuchelewa
_kuepuka kupata majeraha
- kuepuka wizi. N.k
MFano. Ukiwa unatoka kimara unaenda ubungo, usipande mwendokasi panda bajaji. Kuepuka kusumbua watu.