Pole sana. Usafiri huu tunautumia sababu hatuna mbadala.Siji panda hayo magari tena!!! Nilikuja huko mjini nikakata tiketi kituo cha msimbazi niendende shikilango niwahi basi za kuja Dom... asee kumbe mradi unaendeshwa na basi tatu nilikaaa kituoni mpaka nikaamua kuondoka na kudaka boda iniwaishe.
HatamiminaonaUnawezakuchanasuruale