Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Siku hizi unatakiwa uwe na uwezo wa kumtunza pia. Hata kama unapiga show kali, endapo huwezi kumhudumia hata kwa vidogo tu basi hapo Mwanaume unakua hauna maana. Ingawa wachache wana bahati ya kugandwa hata kama hawa provide chochote. HahaShalom,
Siku hizi wanawake nao hawatunzi hisia za minyanduano. usipomcheki hakutafuti.
Huwa najiulizaga sana sipati majibu, shida ni mimi nina shoo mbovu kwa mademu zangu , ni mizimu haitaki au Mademu wanakunywa dawa za ganzi ili wasipate hisia za k.udumu tunapowapa shoo kali.
Kitu Cha ajabu kabisa unakuta unatoka na demu hata mara 3 au 5 na unapiga shoo kimtelezo ila anakuwa yuko radhi kuachana na anaweza asikutafute hata miezi 6 na hapo umemla shoo mtelezo awamu zote na akaaishie hivo usipomtafuta na yeye hakutafuti.
Kinyume chake asili ya mwanamke ukishamla anataka muendelezo ila sasa ajabu nyakati hizi demu unamla utadhani anakuja kwenye shoo akiwa kameza dawa za ganzi.
Sijaelewa nimebaki na viulizo ila ukimtaka tena anakuja. hii ni fumbo kubwa sana yaani mademu nao wanaweza kupotezea kama wanaume imekaaje hii?
😂😂😂😂 Nikiachika nakuja kukung’ang’ania! Si unajua hainaga makombo? 😀🤸🏻♂️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️Ahsante kwa ushauri , binti kiziwi naomba tulitafakari hili wazo zuri lililotukuka
Ulicho kisema ni cha msingi sana ujana usipo utumia kwa umakini unaweza kuja kujuta.Mm nilizibuka nilikua nabadili wanawake km nguo honga sana hela.Nashukuru mke wangu aliamsha ugomvi mzito ambao ulinifanya nikae chini nijitafakali na pia watu kunisema ndo nikaacha ujinga na kuamnua kufanua maendeleo ya familia yangu.muda unakwenda kijana ukija kuzinduka wenzako wamesharauka
nakumbuka kipindi cha ujana wetu kuna waliokua kama wewe sasa ni mambo ya malamiko tuh
Wow fanya visa uachike uje tubebishane nakuahidi hutojutia😂😂😂😂 Nikiachika nakuja kukung’ang’ania! Si unajua hainaga makombo? 😀🤸🏻♂️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Tatizo la kuwa na ushikaji na Genta ndiyo matokeo yake haya.SubhanaLlah , ramadhani yote nije na uzi wa namna hiyo ! mimi sijawahi kuwa na ID zaidi ya hii miaka yote hapa Jf ..
Satoh Hirosh na Maghayo The Mongo Khaan njoeni muoeni mtu mwingine kanihusisha na ID ambayo sio yangu.
Woiiiiiiih!!!The problem I want true love, so oftenly I hide under low profile, so mostly I come across fake partners, and the story ends there, no sooner had she parts company I reveal my belongings na siwapeagi second chance.
Muhimu ni PESAHahaha, ni kitu muhimu sana kwa sasa hii wanaume hatutakiwi kukwepa na kufanya excuse katika hili ase.
Narudia na kukazia, PESA iwepoo.Haya mambo hayana formula, watu tushatoa hadi magari + kulipa bills za hair dressings/ pedicure/ manicure/ waxing etc na bado hatukufika popote. Wapo pia ambao hatukutoa kitu zaidi ya misosi na game kali nao pia hatukufika popote. Kikubwa ni ukipata anayekuelewa na yuko tayari kutulia, nenda nae tu
📌Pampu + maokoto = mwanamke anaweka kambi. Sasa wewe ni kupampu tu hela huna! Utasahaulika!
Hivi wanawake hamna pesa zenu za kupendeza vile mtakavyo?Na Pesa uwe nayo umpe apendeze, awe mzuri zaidi.