Tupeane mrejesho kuhusu kupanda madaraja

Mbona mshahara bila bila😸
Halafu Zanzibar wamelipwa kabla ya Eid (tarehe 17), jiulizeni jeuri ya kuwalipa wafanyakazi katikati ya mwezi inatoka wapi!, kama sio shauli ya fedha za jasho na damu ya watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…