Tupeane muongozo juu ya maneno mapya toka TUKI

G-Funk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
2,398
Reaction score
5,554
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri mtakavyopata.

Yangu ni haya:

1. Kisopwa
-Mwanamke anayependa kuomba omba hela hovyo.

2.Kifuvu
-Mwanamke asiye na mvuto
 
TUKI inausongo na mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ