Tupeane muongozo wa biashara ya Photo & Video Production

Tupeane muongozo wa biashara ya Photo & Video Production

Ivan Breaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2020
Posts
1,379
Reaction score
5,499
Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani.

Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza biashara hii ya Photo & Video production, kuanzia kwenye gharama zake, faida yake pia na hasara yake.

Location : Dar ( Hasa Kigamboni )

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Vipi una uzoefu kwenye picha na editing , maana nataka nifungue ofisi mwezi wa pili au watatu tayari nina camera canon, lights za studio, drone , natafuta video camera ili mchakato uwe rasmi
 
Vipi una uzoefu kwenye picha na editing , maana nataka nifungue ofisi mwezi wa pili au watatu tayari nina camera canon, lights za studio, drone , natafuta video camera ili mchakato uwe rasmi
Ninao uwezo wa kuedit picha. Kuhusu kupiga picha nina uwezo wa kupiga picha nzuri kwa kutumia simu, ila camera sijawahi kubahatika kuwa nayo, lakini ideas zipo

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani.

Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza biashara hii ya Photo & Video production, kuanzia kwenye gharama zake, faida yake pia na hasara yake.

Location : Dar ( Hasa Kigamboni )

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Mkuu katika kazi ambazo unaweza toboa kirahisi ni hii ya content production. Ina pesa nyingi ila lazima uwe specific kwenye lengo lako la kuanzisha production house. Usije ukaingia huu uraibu wa kujikita na video production za masherehe na harusi maana competition huko ni stiff wakati kuna maeneo kama post production, documentary, commercial pamoja na social media content pana fursa nyingi sana. Pitia video za Youtubers walijikita katika production house utapata wivu wa mafanikio yao maana ni vijana wadogo ila wanfanya poa sana.
 
Mkifanikiwa kufungua ofisi zenu videographer wa kukodishwa nipo hapa nafanya editing na kushika camera pia bila kusahau music video pia mimi ni director uzoef wa miaka minne kwenye tasnia pia nawakaribisha wale ambao wanapataga connection za kaz unaweza ukaichukua kaz kisha ukanichek ukanikod niisimamie kama director iwe harus au content yoyote nitaifanya mwanzo hadi mwisho tunaikamilisha na utaenda kuchukua credit zako sababu kaz tutaiweka jina lako kama producer sina camera sina chochote zaidi ya computer ya kufanyia editing ila nina connection ya kupata kila kifaa endapo bajet ya production ipo hakuna kifaa nitakachokikosa endapo ninakihitaj sabab vifaa havikodishwi hovyo mpak mtu akujue au upelekwe na mtu anaejulikana kwa music video lazma tupate creativit ndipo tutajua bajet ya kaz kama utahitaji price catelogue zangu ili uzitumie huko kwenye vikao vya kamat ili tufanye kaz nichek whatsap/Call 0627218573 kunikodisha kuna bei ya kushika camera na bei ya editing kufuatana na tukio au mazingira ya kaz karibu tufanye kaz nikisema niombe kuajiriwa nitamuumiza boss sababu ntataka fungu kubwa la mwisho wa mwez ili niwe bize na kaz zake so ili kuepusha hayo bora unikod ukihitaj huduma yang coz nimeajiriwa kwenye online tv na tv station tofaut tofaut ili kupata ile experienc niliyonayo mpk sasa inatosha na nina experienc ya kutosha kwa sasa ninafanya dayworker kwenye church tofaut tofaut so nimeamua kufanya dayworker ngoja niishie hapa nichek kwa adress hii Call/Whatsap 0627218573 /Call 0788256887
Karibuni wapendwa.
 
Mkuu katika kazi ambazo unaweza toboa kirahisi ni hii ya content production. Ina pesa nyingi ila lazima uwe specific kwenye lengo lako la kuanzisha production house. Usije ukaingia huu uraibu wa kujikita na video production za masherehe na harusi maana competition huko ni stiff wakati kuna maeneo kama post production, documentary, commercial pamoja na social media content pana fursa nyingi sana. Pitia video za Youtubers walijikita katika production house utapata wivu wa mafanikio yao maana ni vijana wadogo ila wanfanya poa sana.
Ipoje Hii content production mkuu Ongezea nyama ili nijifunze pia
 
Ipoje Hii content production mkuu Ongezea nyama ili nijifunze pia
Kutokana na dunia kuingia kidijitali ina maaana kuwa consumption ya content imeongezekq hivyo kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kupata content ambazo zina ubora na vigezo vya hali ya juu. Hivyo ni fursa kuwa na production house inayotoa huduma hizo
 
Back
Top Bottom