Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Ninao uwezo wa kuedit picha. Kuhusu kupiga picha nina uwezo wa kupiga picha nzuri kwa kutumia simu, ila camera sijawahi kubahatika kuwa nayo, lakini ideas zipoVipi una uzoefu kwenye picha na editing , maana nataka nifungue ofisi mwezi wa pili au watatu tayari nina camera canon, lights za studio, drone , natafuta video camera ili mchakato uwe rasmi
Mkuu katika kazi ambazo unaweza toboa kirahisi ni hii ya content production. Ina pesa nyingi ila lazima uwe specific kwenye lengo lako la kuanzisha production house. Usije ukaingia huu uraibu wa kujikita na video production za masherehe na harusi maana competition huko ni stiff wakati kuna maeneo kama post production, documentary, commercial pamoja na social media content pana fursa nyingi sana. Pitia video za Youtubers walijikita katika production house utapata wivu wa mafanikio yao maana ni vijana wadogo ila wanfanya poa sana.Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani.
Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza biashara hii ya Photo & Video production, kuanzia kwenye gharama zake, faida yake pia na hasara yake.
Location : Dar ( Hasa Kigamboni )
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Ipoje Hii content production mkuu Ongezea nyama ili nijifunze piaMkuu katika kazi ambazo unaweza toboa kirahisi ni hii ya content production. Ina pesa nyingi ila lazima uwe specific kwenye lengo lako la kuanzisha production house. Usije ukaingia huu uraibu wa kujikita na video production za masherehe na harusi maana competition huko ni stiff wakati kuna maeneo kama post production, documentary, commercial pamoja na social media content pana fursa nyingi sana. Pitia video za Youtubers walijikita katika production house utapata wivu wa mafanikio yao maana ni vijana wadogo ila wanfanya poa sana.
Kutokana na dunia kuingia kidijitali ina maaana kuwa consumption ya content imeongezekq hivyo kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kupata content ambazo zina ubora na vigezo vya hali ya juu. Hivyo ni fursa kuwa na production house inayotoa huduma hizoIpoje Hii content production mkuu Ongezea nyama ili nijifunze pia