Tupeane taarifa kuhusu huu mfuko Faida Fund

Investor 1

Senior Member
Joined
May 4, 2022
Posts
106
Reaction score
206
Kuna huu mfuko unaotarajia kuanza hivi karibuni Faida Fund ambao ni kama UTT, mwenye taarifa zaidi atujukishe kuhusu huu mfuko Faida Fund.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Subilia uanze mbona unaharaka mnooo.
 
FAIDA FUND kipande kimoja kimefika Tzs 101.

Aliyenunua vipande 10,000 amepata capital gain ya Tzs 10,000
 
Naona vipande vyake (units) vinaenda vizuri. Kwa sasa unaweza kuwekeza kupitia CRDB na M-PESA tu. Mitandao mingine haikubali
Ukiweka 10000 baada ya miezi mitatu unapata profits gain kiasi gani
 
Ukiweka 10000 baada ya miezi mitatu unapata profits gain kiasi gani
Uwekezaji huu unahitaji long term consistency and focus, ili upate matokeo mazuri inabidi uwekeze mara kwa mara na uwe mvumilivu atleast five years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…