MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 611
Safi sana. Mimi naanza na Mahindi Mapya Kibaigwa.... 8-9k kwa debe
Safi sana. Mimi naanza na Mahindi Mapya Kibaigwa.... 8-9k kwa debe
NO, UWE KIBIASHARA ZAIDI , KUANZIA MAZAO MPAKA VITU VINGINE
HII IMEKAA VIZURI SANA MKUUMjomba leo amenipgia simu toka Lindi kuna mzigo alikia aupokee..akaniambia yaani unaleta dagaa badala ya mahindi??😄akasema watu wametajirika kwa biashara ya mahindi...anayatoa mvomero kwa shilingi 7..kule amesema kuna area debe ni 40000!
Ni kuhusu yale mafurikoo..bas unaambiwa mahindi ni "zahabu"
mkuu hiyo habari nami nimeiskia ila nkapuuzia kumbe kweliMjomba leo amenipgia simu toka Lindi kuna mzigo alikia aupokee..akaniambia yaani unaleta dagaa badala ya mahindi??[emoji1]akasema watu wametajirika kwa biashara ya mahindi...anayatoa mvomero kwa shilingi 7..kule amesema kuna area debe ni 40000!
Ni kuhusu yale mafurikoo..bas unaambiwa mahindi ni "zahabu"
Kariakoo wanauza.... means na wao ni wanunuziNingependa kujua maeneo yenye Soko la Mafuta ya Mnyonyo (Castor Oil) na bei zake tafadhali.
Mtaa wa nyamwezi stand ya daladala za tegeta maduka yapo mengi hapo kichupa Cha mls 250 tsh 4000Ningependa kujua maeneo yenye Soko la Mafuta ya Mnyonyo (Castor Oil) na bei zake tafadhali.