Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Empress_sheila

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
293
Reaction score
336
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!
 
Njoo Pm nkupe deal la skendo ya picha za utupu utajulikana kuliko hata Pierre Liquid
 

Ji brand kupitia social media mfano kipaji, elimu, fani, sanaa, biashara na mitazamo.

Upo wapi kwenye hivi!
 
Safisha nyota
 
Tafuta pesa binti, ujikwamue kiuchumi.. utasahau huo ujinga unaowaza... narudia Tena tafuta pesa.
Sasa si ndiyo nina mtaji wangu kipochi manyoya nakitafutia hela? Kama uwoya tu
 
Maana ya kuwa superstar imebadilika au ndio ile ile? Unataka kuwa "superstar " kama nani ili upate wenye pesa, OP?
Kama wema lakini niwe na nahongwa kama uwoya halaf niwe na akili ya kuwekeza kama bakhresa nataka niwe na king'amuzi changu na kiwanda kikuubwa cha nyara ya serikali kama sukari hivi au mafuta ya kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…