Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Asee,[emoji848] pagumu kidogo
 
Yaani siku hizi ukahaba unahalalishwa kabisa wazi namna hii.

Huyu anasema tumpe mbinu za kuwa malaya..!

Sisi tutajuaje sasa huo umalaya
 
Kuwa star kazi mpendwa, hata Mimi nilipenda kuwa star Ila uachekazi ufanye kazi, mpaka nilikuwa na marafk star, ningekuwa, Ila majukumu na umbali wa bongo, Ila nilichopenda sio sababu ya kuwa na mabwana, kujulikana tu Kama kina roza Lee, na kumake bingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…