92Ubuntu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 313
- 367
Soko la hisa Tanzania kwenye miaka hii ya karibun nimeona linaanza kushamiri kwa kasi kubwa sana, huku elimu ya kuhusu soko hili la hisa kwa mlaji likiwa bado linasua sua.
Mwananchi wa kawaida ambaye ndie hasa mlengwa anawezaje kuwa na yeye na umiliki wa Hisa na kumletea Faida.
Tujuzane kwa walio Ingia kwenye kwenye system.
Mwananchi wa kawaida ambaye ndie hasa mlengwa anawezaje kuwa na yeye na umiliki wa Hisa na kumletea Faida.
Tujuzane kwa walio Ingia kwenye kwenye system.