Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa

Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed

Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane ideas
 
IMG_20201209_082626_932.JPG
 
Kwani ukiweka laini ingine tofauti inadai unlock code au laini inasoma emergency call only?
 
Nimeweka zote imegoma inadai unlock code

Kumbuka network carrier ya hii simu ni japan, kwa hiyo hapa labda ningepata simcard ya japan huenda ingekubali kusoma
 
Hizo simu sio famous sana kwahyo kupata unlock codes vigumu. Hapo unatakiwa ujue imefungwa kwa carrier gani wa huku nje uwapigie na watakupa unlock codes kma simu haijaripotiwa kma stolen na mwenye simu alishamaliza contract.

Mi ndio nnavyojua kma AT&T ya marekani wanakupa unlock codes ukiwaambia umeuziwa hyo simu used na wakaona mmiliki wa mwanzo ameshamaliza contract na hajaripoti kma imeiibiwa/kupotea.
 
Kiukweli hizi simu sio famous na zinatamba sana japan. Na imenunuliwa huko huko bado mpya kabisa

Kuna sites moja nimeona inatoa unlock codes kwa njia ya email ila mpaka ulipie, sina imani na hii site nahisi kutapeliwa maana 50k ni kubwa sana
 
Nunua smart kitochi tu uwe una hotspot kwenye hyo simu
 
Kitochi nacho kina case hiyo hiyo ya locked network
Buku 5 mpk 8 tu una unlock fasta. Kuna jamaa alinifungulia mm chini ya dkk 10 akanipa unlock codes nikaweka.
PXL_20201209_140428208.jpg
 
Kiukweli hizi simu sio famous na zinatamba sana japan. Na imenunuliwa huko huko bado mpya kabisa

Kuna sites moja nimeona inatoa unlock codes kwa njia ya email ila mpaka ulipie, sina imani na hii site nahisi kutapeliwa maana 50k ni kubwa sana
Mkuu unataka kusema hapa bongo mafundi wameshindwa ku calculate unlock code kwenye server za flashing box yoyote kwa kutumia imei namba zake?

Em mtafute huyu StreetWinner umweleze tatizo lako na hiyo smart kitochi atakupa code kwa 5k tu...

+255712842283
 
Kitochi sio kipaumbele maana simu hiyo sina
IMG_20201209_183141.jpg

Lengo ilukua nikupatiwa maarifa kwa mtu mwenye kujua jinsi ya kui-unlock. Najua kariakoo kuna watu wana njaa hawawezi kurudisha pesa kwenye tatizo la simu ya android
 
Kitochi sio kipaumbele maana simu hiyo sinaView attachment 1645592

Lengo ilukua nikupatiwa maarifa kwa mtu mwenye kujua jinsi ya kui-unlock. Najua kariakoo kuna watu wana njaa hawawezi kurudisha pesa kwenye tatizo la simu ya android
Huyo niliekupa sio wa pale K/koo ni ana ofisi zake binafsi na pia anafanya kazi remotely hata kama upo mbali kwa kutumia TeamViewer, mradi uwe na PC tu..
 
Sifahamu mkuu kutoa lock ila ushauri service ya namna hii usijihangaishe na site za kimagharibi.

Tafuta kama ni google translator ama njia rahisi kwako nenda site za South east Asia kama malyasia na Indonesia,

Kikawaida simu za docomo kule zinauzwa bei rahisi sana flagship nyingi chini ya laki 3.

Kuna jamaa naona hapa anatoa lock yupo shopee kwa rm 20 ambayo ni kama 11,000,

Sema hii site inataka uwe na no verified ya malyasia.
 
Huwez toa hizi kwa kutegemea KaNCK chako..waone wenye box nyingi wakalculate code kwa IMEI no..Kam upo tayar naeza saidia..Ila utanipoza kiduchu
 
Sifahamu mkuu kutoa lock ila ushauri service ya namna hii usijihangaishe na site za kimagharibi.

Tafuta kama ni google translator ama njia rahisi kwako nenda site za South east Asia kama malyasia na Indonesia,

Kikawaida simu za docomo kule zinauzwa bei rahisi sana flagship nyingi chini ya laki 3.

Kuna jamaa naona hapa anatoa lock yupo shopee kwa rm 20 ambayo ni kama 11,000,

Sema hii site inataka uwe na no verified ya malyasia.
Kwanxa nianze kwa kusema asante japo sija tatua tatizo ila kwangu mimi naona huu ni mwelekekeo mzuri

Kama utakua una ideas ya hizo sites naimba uniwekee majina yake
 
Hio nilioitaja mkuu inaitwa shopee, kwa ukanda huo ndio site kubwa sana kama unavyosema aliexpress ama amazon, sema weakness yake kubwa haiship kwetu hivyo mpaka ufanye magumashi ya namba ama malipo ya kule kule ndio unaweza nunua.

Mfano wa mtu shopee anayeuza code.

Mimi huwa nachukua namba ama namna nyengine yoyote nawasiliana nao nje ya hio site na kufanya manunuzi.

Pia mcheki huyu jamaa ebay

Back
Top Bottom