Tembelea tovuti ya Unlock Phone, TopUp Airtime & Free Cell Check | doctorSIM U.S.A. unaweza pata unlock
Kwani ukiweka laini ingine tofauti inadai unlock code au laini inasoma emergency call only?Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa
Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed
Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane ideas
Nimeweka zote imegoma inadai unlock codeKwani ukiweka laini ingine tofauti inadai unlock code au laini inasoma emergency call only?
Hizo simu sio famous sana kwahyo kupata unlock codes vigumu. Hapo unatakiwa ujue imefungwa kwa carrier gani wa huku nje uwapigie na watakupa unlock codes kma simu haijaripotiwa kma stolen na mwenye simu alishamaliza contract.Nimeweka zote imegoma inadai unlock code
Kumbuka network carrier ya hii simu ni japan, kwa hiyo hapa labda ningepata simcard ya japan huenda ingekubali kusoma
Kiukweli hizi simu sio famous na zinatamba sana japan. Na imenunuliwa huko huko bado mpya kabisaHizo simu sio famous sana kwahyo kupata unlock codes vigumu. Hapo unatakiwa ujue imefungwa kwa carrier gani wa huku nje uwapigie na watakupa unlock codes kma simu haijaripotiwa kma stolen na mwenye simu alishamaliza contract.
Mi ndio nnavyojua kma AT&T ya marekani wanakupa unlock codes ukiwaambia umeuziwa hyo simu used na wakaona mmiliki wa mwanzo ameshamaliza contract na hajaripoti kma imeiibiwa/kupotea.
Nunua smart kitochi tu uwe una hotspot kwenye hyo simuKiukweli hizi simu sio famous na zinatamba sana japan. Na imenunuliwa huko huko bado mpya kabisa
Kuna sites moja nimeona inatoa unlock codes kwa njia ya email ila mpaka ulipie, sina imani na hii site nahisi kutapeliwa maana 50k ni kubwa sana
Buku 5 mpk 8 tu una unlock fasta. Kuna jamaa alinifungulia mm chini ya dkk 10 akanipa unlock codes nikaweka.Kitochi nacho kina case hiyo hiyo ya locked network
Asa hiki uki tether hotspot si dk kadhaa tu kana heat na chaji inaporomoka kama dk zinavyo count... [emoji848]Buku 5 mpk 8 tu una unlock fasta. Kuna jamaa alinifungulia mm chini ya dkk 10 akanipa unlock codes nikaweka.View attachment 1645509
Mkuu unataka kusema hapa bongo mafundi wameshindwa ku calculate unlock code kwenye server za flashing box yoyote kwa kutumia imei namba zake?Kiukweli hizi simu sio famous na zinatamba sana japan. Na imenunuliwa huko huko bado mpya kabisa
Kuna sites moja nimeona inatoa unlock codes kwa njia ya email ila mpaka ulipie, sina imani na hii site nahisi kutapeliwa maana 50k ni kubwa sana
Hapana. Natumiaga mm siku nzima. Mpk jioni nikirudi homeAsa hiki uki tether hotspot si dk kadhaa tu kana heat na chaji inaporomoka kama dk zinavyo count... [emoji848]
Kitochi sio kipaumbele maana simu hiyo sinaMkuu unataka kusema hapa bongo mafundi wameshindwa ku calculate unlock code kwenye server za flashing box yoyote kwa kutumia imei namba zake?
Em mtafute huyu StreetWinner umweleze tatizo lako na hiyo smart kitochi atakupa code kwa 5k tu...
+255712842283
Huyo niliekupa sio wa pale K/koo ni ana ofisi zake binafsi na pia anafanya kazi remotely hata kama upo mbali kwa kutumia TeamViewer, mradi uwe na PC tu..Kitochi sio kipaumbele maana simu hiyo sinaView attachment 1645592
Lengo ilukua nikupatiwa maarifa kwa mtu mwenye kujua jinsi ya kui-unlock. Najua kariakoo kuna watu wana njaa hawawezi kurudisha pesa kwenye tatizo la simu ya android
Anha okay!Hapana. Natumiaga mm siku nzima. Mpk jioni nikirudi home
Sifahamu mkuu kutoa lock ila ushauri service ya namna hii usijihangaishe na site za kimagharibi.
Kwanxa nianze kwa kusema asante japo sija tatua tatizo ila kwangu mimi naona huu ni mwelekekeo mzuriSifahamu mkuu kutoa lock ila ushauri service ya namna hii usijihangaishe na site za kimagharibi.
Tafuta kama ni google translator ama njia rahisi kwako nenda site za South east Asia kama malyasia na Indonesia,
Kikawaida simu za docomo kule zinauzwa bei rahisi sana flagship nyingi chini ya laki 3.
Kuna jamaa naona hapa anatoa lock yupo shopee kwa rm 20 ambayo ni kama 11,000,
Sema hii site inataka uwe na no verified ya malyasia.
Hio nilioitaja mkuu inaitwa shopee, kwa ukanda huo ndio site kubwa sana kama unavyosema aliexpress ama amazon, sema weakness yake kubwa haiship kwetu hivyo mpaka ufanye magumashi ya namba ama malipo ya kule kule ndio unaweza nunua.Kwanxa nianze kwa kusema asante japo sija tatua tatizo ila kwangu mimi naona huu ni mwelekekeo mzuri
Kama utakua una ideas ya hizo sites naimba uniwekee majina yake