Wadau mimi ni mchimbaji mdogo kutoka Kanda ya ziwa pia nafanya biashara, mwaka 2021 nilitembelea chunya, tunduru na mbinga katika harakat I za kazi yangu kabla ya kurudi mwanza kwa masuala ya kifamilia,
Nataka nirudi tunduru au mbinga tena, nauliza ni machimbo yapi tana population kubwa, mara ya mwisho nilikuwa mbwenkulu palikuwa na watu wengi sana ,nauliza chimbo lipi ni zuri kwa biashara pia shughuli za uchimbaji