Tupeane Update za matokeo ya Simba Vs Plateus

Tupeane Update za matokeo ya Simba Vs Plateus

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Leo Dimbani Ni Simba VS Plateus United
Hapa tupeane matokeo pamoja na matukio yanayo jili Katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium
Ni Uwanja wako sasa kutoa updaUpd Zote.
 
Leo Dimbani Ni Simba VS Plateus United
Hapa tupeane matokeo pamoja na matukio yanayo jili Katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium
Ni Uwanja wako sasa kutoa updaUpd Zote.
Mpaka mda huu matokeo Ni 0-0
 
Kwann Simba huwa hachezi namna hii kwa Utopolo, ama utopolo ni ngumu sana kuichezea namna hii.??????
 
Back
Top Bottom