Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Daaaah so rahisi unatupanga tu hapa
mim ni shuhuda, hawa madogo ilivuma tu chinichin kua wanahtajika vijana wajiunge jeshi.

Ikabid wakachukue form wilayan na dogo mmoja alikua kidato cha tatu ila nae kaenda.
 
Asalam Aleykum wanajamvi nia na Nlmazumuni ya uzi huu nitupeane updates ya taarifa mbali mbali kuhusu ajira mpya za JWTZ 2026
Kwa namna vijana mnavyopenda kujazana upepo wa kuwapondea hao askari sikutarajia kukutana na huu uzi. Anyway maisha ya mitandao yana maigizo mengi. Unaweza kukuta jombaa inapondea walimu wakati huo huo na yeye anaombea apate kazi ya ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…