Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
-huo upande naujua vizuri, kwa sababu Nina Access yakuona perdiem za sehemu nyingi sana, nyingine ni siri siwezi kuzitajaNidanganye umati ili nitafute nini na kwanini nifanye hivyo?
Nimekwambia tokea mwanzo huu upande hujui kitu ila bado king'ang'anizi na nkwambia kabisa kama hujui ni bora kuuliza kuliko kujidhalilisha kama hivi, unashangaa Sgt kupokea hiyo sasa hao maOfsa uliokuwa unawasema wanakunja ngapi!
Wewe kinacho kuharibia ni either ulikaririshwa mda sana Enzi hizo kwa hiyo hadi leo unatembea na zile figure au ni ubishi tu wa kutoamini kila kitu chenye ukweli kuhusu maPolisi
- na wewe mwenyewe kumbe mbumbumbu nakupeleka unaenda unaogopa kuchanganua hojaEndelea ku-edit hivyo hivyo mpaka tutaelewana tu
Yani mtu humjui na hujui pia anafanya shughuli gani unaanza kumpimia kipato chake mhh! Ni mjinga tu anayeweza kufanya kitu kama unachofanya wewe na mwanzo nkajua unajitambua kumbe mhh!
Sasa nini hiki umeandika au kuna sehemu tulishawahi kuonana maana inawezekana unanifahamu kwa mujibu wa maelezo yako
We usituchoshe na kupromote hizo taasisi za mishahara minono....kama we unaitaka si ukafanye kazi huko ule hizo pesa usitupigie kelele sisii
- acha uoga wewe, kwenye majibu yako mwenyewe umejitapa kuwa upande huo mimi sijui kitu wewe ndiye mwenye kujua,sasa umejuaje? Wewe ni askari,kama sio askari basi mke wako/mume wako ni askari
- Police hauko katika taasisi zenye mishahara minono Tanzania hii, nenda kapitie ule Uzi wa mishahara minono taasisi zilizotajwa polisi haipo hata katika 20 bora
Safi sana , ndio maana pamoja Santa alisema kuna watu wanalipwa mamilioni lkn wamechakaa kuliko wanaolipa malakiWatu mnakaa busy kubishania mishahara na perdiem za watu!??daaah hebu leteni hoja za kueleweka humu!! Sasa ukisema mara JW,,TRA,,PPRA wana mishahara minono Kwahyo kila mtu akafanyie kazi huko sasa,,huku kwingine afanye Nani!? Na mwisho wa siku pesa hata ulipwe nyingi kiasi gani kama huna akili ya kujiongeza na kuizalisha ili ikunufaishe utaishia kuwa hamna lolote tuu....
Ndio na ndo iko hivyo....Matumizi ya pesa ni nidhamu yako mwenyewe namna ya kuitumia,,kuizalisha.Safi sana , ndio maana pamoja Santa alisema kuna watu wanalipwa mamilioni lkn wamechakaa kuliko wanaolipa malaki
Polisi wanna access na hela siku zote za mwezi mzima kupitia zile "ndogo ndogo za brush" hao jamaa wana hela ni vile tu sio watunzaji wa hela na wana matumizi mabaya. Mishahara Yao midogo ila kwenye mishemishe wanapiga nyingi sana. Hakuna afisa wa jeshi anamfikia trafiki kwa kuingiza hela kwa siku. Sio rasmi lakin nani anajali?
- acha uoga wewe, kwenye majibu yako mwenyewe umejitapa kuwa upande huo mimi sijui kitu wewe ndiye mwenye kujua,sasa umejuaje? Wewe ni askari,kama sio askari basi mke wako/mume wako ni askari
- Police hauko katika taasisi zenye mishahara minono Tanzania hii, nenda kapitie ule Uzi wa mishahara minono taasisi zilizotajwa polisi haipo hata katika 20 bora
Na hili ndo wengi hawalijuii....Mishahara yao iko kawaida ila kwa upande wa deals za pembeni ndo wanavuta mkwanja iwe halali au sio halaliPolisi wanna access na hela siku zote za mwezi mzima kupitia zile "ndogo ndogo za brush" hao jamaa wana hela ni vile tu sio watunzaji wa hela na wana matumizi mabaya. Mishahara Yao midogo ila kwenye mishemishe wanapiga nyingi sana. Hakuna afisa wa jeshi anamfikia trafiki kwa kuingiza hela kwa siku. Sio rasmi lakin nani anajali?
Trafiki wanapiga hela na kawaida kuondoka hata na laki+ kwa siku .
Itategemea na Akili za mwanamke wako!! Ni kawaida tu kua Kazini atatongozwa,,mtaani atatongozwa kwahyo ni yeye sasa namna ya kupangua hio mishaleNipe maelezo kidogo niandae akili vizuri mkuu?
Wewe unafanyia wapi mkuu mnalipwa 5M!??Mnabishana ajira zenyewe hazina hata salary ya 5M per month
UnyamaNdio na ndo iko hivyo....Matumizi ya pesa ni nidhamu yako mwenyewe namna ya kuitumia,,kuizalisha.
Majeshini uzuri ukiotea ajira haina kona nyingi swala ni connection tu chap ukienda kozi umeulamba...kule portal unapiga interview leo kazini unaitwa mwez wa 12😀Ajira ngumu sana miaka hii, watoto wangu wasipokuja kurithi Kaz zangu za kilimo- biashara mana ni wa kike... basi ntakuja kuwatafutia upolisi wote wawili. Huko mbeleni Hawa wajinga(mapot) watakuja kuwa vzuri tu😃
Hizo za mishahara mukubwa sana hazpatikani bila kujuana na washika dau.
Mimi ni individual land consultant silipwi mshahara nalipwa service feeWewe unafanyia wapi mkuu mnalipwa 5M!??
Laki kwa siku kwa mwezi Wala sio hela nyingi ni 3MPolisi wanna access na hela siku zote za mwezi mzima kupitia zile "ndogo ndogo za brush" hao jamaa wana hela ni vile tu sio watunzaji wa hela na wana matumizi mabaya. Mishahara Yao midogo ila kwenye mishemishe wanapiga nyingi sana. Hakuna afisa wa jeshi anamfikia trafiki kwa kuingiza hela kwa siku. Sio rasmi lakin nani anajali?
Trafiki wanapiga hela na kawaida kuondoka hata na laki+ kwa siku .
Haya endelea na kazi yako...watu wote duniani hawawezi kua land consultant kama unalipwa 5M then enjoy it and let others enjoy their 500k,,700k,,800k,,and etc.Mimi ni individual land consultant silipwi mshahara nalipwa service fee
Wanasiasa hawana pa kuwapeleka ndugu zao na wapiga kura wao sehemu rahisi kwao ni majeshini mzeewhy bro