pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Huna hulijualo mkuu tatizo lako ni kutaka kufananisha taasisi za kiraia na za kijeshi hapo ndo unapotea hiki kitu acha kabisa hawa vitu wanavyovipata ni tofauti kabisa na wanavyovipata taasisi za kiraia- muongozo wa perdiem ni flat rate except kwa mashirika ya umma the rest ni normal rates
-Kama mpaka Leo laki4 unaiona ni pesa ya maana basi kipato chako ni cha chini mno, wenzio wanachukua posho hadi 4m na ni Jr officers tu kwenye mashirika ya umma
Hivi unajua mimi nafanya kazi taasisi gani mkuu? Maana ushaanza kunipa uPolisi sasa- bakabaka wamo ni nyie Mambo ya ndani tu ndio mko chini
-ulizia mafao ya staff sgt wa Bakabaka kama yanalingana na staff sgt wa police utaoja gap
Acha kumfananisha Polisi na Mwalimu Polisi ana uhafadhaliIla polisi na walimu watabaki kuwa wafanyakazi wenye kipato kidogo sana hapa nchini.
Kidogo traffic tena kwenye majiji makubwa nao kunapesa bado inabidi wapeleke kwa wakubwa.
Hii 1.5 ni mshahara wa ASP huuInawezekana kweli anazidiwa na huyo ofisa wa tra lakini nakwambia hakuna SP sijui wa Zimamoto,Magereza,Uhamiaji na Polisi anaelipwa 1.5M na hata kabla ya ongezeko la juzi walikuwa hawalipwi hivyo, wewe shida yako unaokoteza taarifa
Ungeaza kuuliza kwamba SP analipwa ngapi watu tungekujibu kama kuna ulazima lakini kwa kuwa umekuja moja kwa moja kwamba wanalipwa kiasi flani basi na sisi ngoja tukae kimya
;-vitu wanavyopata majeshi ni tofuati na vitu wanavyopata taasisi za kiraia, sasa ni vitu gani vya maana mnavyopata except bakabaka, ikiwa taasisi za kiraia nyingi ndio ziko mbele yenu kwa mishahara mfano tu kuna afisa jr mambo ya ndani anaanza na mshahara wa 3.2m?Huna hulijualo mkuu tatizo lako ni kutaka kufananisha taasisi za kiraia na za kijeshi hapo ndo unapotea hiki kitu acha kabisa hawa vitu wanavyovipata ni tofauti kabisa na wanavyovipata taasisi za kiraia
Umeishiwa hoja nini mkuu, kuna mahala nimesema kuwa hiyo laki none ni kubwa au ndogo au nimekuuliza kuwa na wao wanaipata au hawaipati inaonekana we utakuwa mzee wa kupenda ligi sana hata kama vitu havihitaji ligi mkuu
Me nimekuuliza je wanaipata ila kuhalalisha hoja yako sasa kama hawaipati unapataje nguvu ya kutaka kuhalalisha hoja yako kuwa wanatumia scale sawa
Hahaha unajifanya hujui wanachowazidi;-vitu wanavyopata majeshi ni tofuati na vitu wanavyopata taasisi za kiraia, sasa ni vitu gani vya maana mnavyopata except bakabaka, ikiwa taasisi za kiraia nyingi ndio ziko mbele yenu kwa mishahara mfano tu kuna afisa jr mambo ya ndani anaanza na mshahara wa 3.2m?
Hivi unajua mimi nafanya kazi taasisi gani mkuu? Maana ushaanza kunipa uPolisi sasa
Hakuna mtu ambae hicho kitu ila wewe ni ubishi wako tu ila mbona huongelei fursa walizonazo majamaa hahaha maPolisi, inaonekana yalishakufanyaga mbaya sana sio
- kuna police jr ofisa analipwa mshahara sawa na jr ofisa wa eGA,tra, Ewura, Tarura,Tpa?Hahaha unajifanya hujui wanachowazidi
Hahaha! Ila we jamaa bhana mpaka mda huu uamini macho kuwa Sgt anakunja 150k perdiem
- sasa wewe si unajidai unayajua ya mambo ya ndani? Unaona aibu kusema ni askari tutakuona wa hali ya chini.
- Mimi nimuonee wivu mtu chapati hata salary na posho 7m?
Sasa hawa walinganishe na TPDF uone moto ukiwaka hapa sawa mkuu- kuna police jr ofisa analipwa mshahara sawa na jr ofisa wa eGA,tra, Ewura, Tarura,Tpa?
- laki150 hiyo sio perdiem yake.Hahaha! Ila we jamaa bhana mpaka mda huu uamini macho kuwa Sgt anakunja 150k perdiem
Hiyo ya wivu umesema wewe mimi walaaaa
Mshahara wa SGT ni sh 600kHuyo Ofisa gani anaelipwa huo mshahara mzee unajua usiongee vitu ambavyo huvijui na kufurahisha genge hapa kama constable analipwa zaidi ya hiyo huyo ofsa ni yupi huyo
Mshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?Umeona sasa ulivyo hujui vitu na nimekwambia hapa wewe mzee huku majeshi hujui kitu ni bora uulize uambiwe
Kuna maConstable wanakula mshahara wa 1.5M na ni nje ya posho zake zote na huyo kaanza leo kazi
Million 30 nyingi wanalipwa 25 na nina hadi documents- laki150 hiyo sio perdiem yake.
-sasa nimuonee wivu mtu analipwa mshahara laki7?
- unajua sgt akistaafu mafao yake hayazidi 30m? Si kila siku wanalia mafao kidogo ni kwa sababu mshahara ni chini
Mkuu tuwekee tuamini.Mshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?
Subaru Sj5 ataisikia tuMshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?
Sikia mzee wewe jua hivyo na mimi acha nijue hivyo nimemaliza- laki150 hiyo sio perdiem yake.
-sasa nimuonee wivu mtu analipwa mshahara laki7?
- unajua sgt akistaafu mafao yake hayazidi 30m? Si kila siku wanalia mafao kidogo ni kwa sababu mshahara ni chini
Mshahara wa SGT ni sh 600k
Mshahara wa constable ni 470
Huu unaosema wewe ni kabla hata hawajapandishiwa pia Sgt alikuwa halipwi hiyo!Mshahara wa SGT ni sh 600k
Mshahara wa constable ni 470
Pandisha hiyo salary slip constable hana huu mshahara kwa mwaka huu!Mshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?
Sgt 600k, 😂Mshahara wa SGT ni sh 600k
Mshahara wa constable ni 470