Msolid extra
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 274
- 195
Siwezi kubishana na nisiemjuaa huenda nabishana na zombi hapaa kaweka bando la jero anakuja kusumbuaa watuu...batawahed๐๐๐I'm out,,mwanaume anaekaa kubishania mishahara na perdiem za watu na ye ukute hajawahi hata kulambaa..hivi huo muda wa kufatilia mishahara,,perdiem za watu we kma mwanaume unautoa wapii๐๐๐na busy kunanga mitandaonii๐alafu unajiona uko sawaa๐๐๐ฎ๐ฎ- unapigia kelele 140,k, 800k? ๐
Bando la500? Ndilo unalowekaga sioSiwezi kubishana na nisiemjuaa huenda nabishana na zombi hapaa kaweka bando la jero anakuja kusumbuaa watuu...batawahed๐๐๐I'm out,,mwanaume anaekaa kubishania mishahara na perdiem za watu na ye ukute hajawahi hata kulambaa..hivi huo muda wa kufatilia mishahara,,perdiem za watu we kma mwanaume unautoa wapii๐๐๐na busy kunanga mitandaonii๐alafu unajiona uko sawaa๐๐๐ฎ๐ฎ
Mbona unapenda nirudie sana hichi kitu ni na nilikuambia kabisa HATA DUNIA INAELEWA KUWA KWENYE TAASISI ZA KIJESHI HAPA BONGO TPDF WAPO VIZURI NA HIKI KITU NIMEKIRUDIA SANA lakini shida yako na ambayo nakukatalia ni kuwa ni kwamba UNAVYOWATOA HAPA SHAHIDI ZAKO YANI UTAFIKIRIA KILA ASKARI KULE ANALIPWA MIPESA MIIINGI ambapo kiuhalisia nwanalipwa pesa ya kawaida tu kulinganisha na taasisi zingine za kiraia ambazo kuna raia Zina kunja parefu tu- na hoja yangu ya msingi uliielewa, kwamba mko chini compared to bakabaka wako mbele
Ngoja nkuulize kitu hapa unaujua mshahara wa Askari wa Tpdf mwenye degree anayeanza kazi leo? Sasa kama unaujua huo mshahara katafute pia mshahara wa raia aliyeajiriwa leo Ewura au Tpdc halafu compare
- kwa salary scale, hawawazidi bakabaka,
- ila hayo mashirika walichowazidi bakabaka labda ni ile extraduty allowance wanayopewa flat rate hadi 1.8m
Hahaha! Mkuu hawa wanaongea kufurahisha genge yani inaonekana aliongea vile kutafuta utetezi na wakati huo hiyo doc Hana!Tumeni salary slip tuone
Umeona sasa ujuaji wao ulivyo mwingi halafu hamna wanachojuaKwahio traffic sio polisii!??๐๐๐๐
Kabisa! Nimeishia hapaMzee unapoteza muda mwingi sana humu kuelewesha hawa wajuajii waliokariri na kumezeshwa kwa stori za mtaani na hakuna wanachojuaaa...hebu achana naoo waendelee kukaa na ujinga waooo
TEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu ๐๐
Hapa ndo nakuja kuamini kuwa wewe akili huna-140k ,800k ni hela?
- unajua gape lililopo kati ya bakabaka na police?
-
๐๐๐Siwezi kubishana na nisiemjuaa huenda nabishana na zombi hapaa kaweka bando la jero anakuja kusumbuaa watuu...batawahed๐๐๐I'm out,,mwanaume anaekaa kubishania mishahara na perdiem za watu na ye ukute hajawahi hata kulambaa..hivi huo muda wa kufatilia mishahara,,perdiem za watu we kma mwanaume unautoa wapii๐๐๐na busy kunanga mitandaonii๐alafu unajiona uko sawaa๐๐๐ฎ๐ฎ
Kaka tuachane naoo tuu...hakuna analojua huyoo bali ujuaji mwingi tuu usio na maana.๐๐๐
Hapa ndo nakuja kuamini kuwa wewe akili huna
-bakabaka wako juuMbona unapenda nirudie sana hichi kitu ni na nilikuambia kabisa HATA DUNIA INAELEWA KUWA KWENYE TAASISI ZA KIJESHI HAPA BONGO TPDF WAPO VIZURI NA HIKI KITU NIMEKIRUDIA SANA lakini shida yako na ambayo nakukatalia ni kuwa ni kwamba UNAVYOWATOA HAPA SHAHIDI ZAKO YANI UTAFIKIRIA KILA ASKARI KULE ANALIPWA MIPESA MIIINGI ambapo kiuhalisia nwanalipwa pesa ya kawaida tu kulinganisha na taasisi zingine za kiraia ambazo kuna raia Zina kunja parefu tu
Kingine unaposema "mna" asee mimi sifanyi huko unakokusema
Kingine TPDF mwanzo walikuwa wanakopa na kupata mikopo mikubwa sababu wao walikuwa wanakopea mpaka posho zao sasa hivi gues what! Hahah!
- naujua ndio na WA ewura naujua,ndio maana nikakwambia wanazidiana kwenye extraduty allowanceNgoja nkuulize kitu hapa unaujua mshahara wa Askari wa Tpdf mwenye degree anayeanza kazi leo? Sasa kama unaujua huo mshahara katafute pia mshahara wa raia aliyeajiriwa leo Ewura au Tpdc halafu compare
Hahahahapamoja Santa kama mshahara wako na posho havinunui iphone 17 ujue wewe bado sana
BEjeti ya mwaka 2026/2027 Ishatoka na bungeni imekwisha wasilishwa fua viatu kanunue trankaJamani upo uhakika wa ajira polisi 2026
Vijana mishahara wanafananisha na iphone 17 hapo ujue akili hamnaa๐๐๐Hahahaha
Daaah hadi nimecheka aise..oya wana eeh mambo kwa ground ni tofauti sanaTEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu ๐๐
Wavulana hao....mwanaume hawezi kusema hayo maneno kama ametokea familia ambayo Baba alikua hana kipato cha kuelewekaVijana mishahara wanafananisha na iphone 17 hapo ujue akili hamnaa๐๐๐