Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
- tunalinganisha aspects zote zote ili nani aonekane zaidiDah wadau bhana...
HAyo mambo ya kuwaza kustaafu yalikua zamani siku hizi wengi hawawazi kama watastaafu kwenye ajira hizo...
Uhuru wa kifedha upo kwenye harakati za biashara tu ...huko kwenye ajira tunasogeza maisha tu
Nilisikia waliopo kozi wanatoka mwezi ujao...halfu kuna wengine wataenda pia tukae mkao wa kulaUhakika bro vp kuhusu ccp hebu tupe madini kidog
Kwenye majeshi yote JW wanajitahidi ..ila kwa maoni yangu Jeshini ingia na ELIMU aise- tunalinganisha aspects zote zote ili nani aonekane zaidi
Bado unaendelea kubishana na mazwazwa wa Humu !??😀😀Acha unajichoshaa bureee....Hakuna wanalolijuaa hawaa,,,waache na stori zao za kahawaaa😀😀Hujui unachokisema wewe!
Pamoja brother mungu atujalie inshallah tuwemoNilisikia waliopo kozi wanatoka mwezi ujao...halfu kuna wengine wataenda pia tukae mkao wa kula