ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
huku tarime ilitakiwa kunyesha tangu mwisho wa mwezi july ili tupande mtama hadi sasa bilabila mkuuNi kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikos ta pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje kuna joto au ubaridi?
Unazungumzia mtama tarime au Uko gachuma,nyancha,mara Si bora n.khuku tarime ilitakiwa kunyesha tangu mwisho wa mwezi july ili tupande mtama hadi sasa bilabila mkuu
tunaitamani sana.msimu wa mtama ndo unaishia hivi, so ikinyesha kati ya wiki hii au ijayo itapendeza