Tupeane uzoefu kwa wale waliochelewa kutoboa kimaisha

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Tupeane uzoefu wale waliochelewa kutoboa.
Najua kukata tamaa katika kutafuta Ni kosa kubwa na Ni usaliti juu ya wenye high hustling spirit. Ni usherani mkubwa kukata tamaa. Ndo maana naamini wapo watu wengi waliostrugle Sana halafu wakatoboa baadae Sana na wakaa kwenye mstali. Ninaposema late wealth maker naamainisha kuanzia miaka 37ndo mtu anaanza kuona matokeo makubwa na mafanikio makubwa kiuchumi.
 
Vipi kuhusu wewe mbona hukujielezea mkuu!
 
mkuu kutoboa ni juhudi na uvumilivu ila kusubiri mafanikio ni jambo ambalo halipo.. kama ukitembea huku unawaza unakoenda hakika utafika haraka ila ukilala ukiwa na ndoto za kutoboa utashangaa unatobolewa wewe... ndoto hubaki kitandani... ila mafanikio hajawahi kupatikana chumbani...
 
Back
Top Bottom