Vipi kuhusu wewe mbona hukujielezea mkuu!Tupeane uzoefu wale waliochelewa kutoboa.
Najua kukata tamaa katika kutafuta Ni kosa kubwa na Ni usaliti juu ya wenye high hustling spirit. Ni usherani mkubwa kukata tamaa. Ndo maana naamini wapo watu wengi waliostrugle Sana halafu wakatoboa baadae Sana na wakaa kwenye mstali. Ninaposema late wealth maker naamainisha kuanzia miaka 37ndo mtu anaanza kuona matokeo makubwa na mafanikio makubwa kiuchumi.
Mimi sisubr mpaka ni makeNa mimi nitakuwa late wealth maker.Wacha nisubiri.