Kyambamasimbi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 762 Reaction score 1,597 Oct 10, 2022 #1 Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Nov 26, 2022 #2 Weka kisa chako kwanza
RoadLofa JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 1,509 Reaction score 3,313 Aug 11, 2024 #3 Uzi watu wameususa Kwa sababu mwasilishaji wake ameleta Janja Janja yeye hajaandika kisa chake anataka vya wenzake kiboboso said: Weka kisa chako kwanza Click to expand...
Uzi watu wameususa Kwa sababu mwasilishaji wake ameleta Janja Janja yeye hajaandika kisa chake anataka vya wenzake kiboboso said: Weka kisa chako kwanza Click to expand...