jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Watu wa mkoani mnapaona bongo kama ulaya eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jamani tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kuja dar ws salaam aka bongo ilikuwaje?
na je kwanin vijana wengi wanaoishi dar hawana maendeleo kiasi cha kushindwa na wageni wanaotoka mikoani kwa maisha mazuri?
wakati wa bongo wanaona bongo bahati mbayaWatu wa mkoani mnapaona bongo kama ulaya eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rubi pls say u - true remember dar is not sportBorn here here [emoji4]
Rubiikimimi[emoji85]
Huwezi achwa salama kwa kutoitwa mwanaume wa Dar [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sana?Ngoja keshokutwa nakuja huko...sihitaji wa kunipokea kwa maana mnajifanya wajanja sana..hata mimi mjanja kudadeki
sio povu...nyie wadaslam mnajikuta wajanja wajanja kila kitu mnajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sana?
Unatokea mkoa upi?