Tupeane uzoefu wa ajira za 2024

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
Mwenzenu nimefanya oral Arusha lakini sikuomba Arusha kwenye interview za afya Kiukwel nilijibu maswali yote vizuri lakini nmekosa ajira..

Sikuomba Arusha vipi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral?
 
Ndio inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…