Mimi nimepuliza Duduba yenye cypermerthrin 10% na chlorpyrifos35% nikachanganya na yara Vita tracel Bz yenye madini mbalimbali muhimu pamoja na weter ya supergro after two weeks narudia kwa kuongezea hexavil au movil ya ukungu.
Jamani hivi waweza kupanda miche mingapi kwenye ekari moja, nami pia nataka kufanya kilimo cha Korosho, naomba munipe uzoefu kwa Wale ambao mulishaanza tayari.