Tupendane humu tuache majungu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Tupendane wadau wa humu tuache majungu.

Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa .

Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane , tusidhihakiane sio fresh .

Mie najambo Moja ni pendo hujenga hujawahi muacha mtu kabisa .

Hizi chuki acheni , msisahau humu ndani watu umri umeenda tujiheshimu na kuwa heshimu wengine ukiona hujafanikisha lengo lako Kaa kimya mbona siye tunakaaga kimya tu tumebeba kifuani mambo Mengi tu tukiamua kufungua magazeti yaliyopita watu watabaki na mshangao .


Basi tusiaibishane tupendane ndio langu neno la Leo
 
Mkuu twende taratibu, nani kamchukia nani?
 
Neno zuri kabisa
 
Watu wanachukiana sana Kosa hakuna nimesoma Uzi mbali mbali nikajawa na hasira tu wanaume wanadharau sana wanawake wanachuki nao Wana kera nikila uzii hii sio nzuri
Wanawake wanaodharauliwa ni wale wanao jidharaulisha mwanamke akiwa na heshima kike atakae mdharau afungwe jiwe atupwe baharini , wasio jiheshimu kike watadharauliwa tu ,tena bora sasa iv zamani walipigwa mawe mpka kifo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…