Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni mtusamehe..
Mliotukwaza tayari tumeshasamehe..

Much love to you all!

From Kiwatengu & shansarie family..

CC: Arushaone, Lady doctor, watu8, 24hrs, figganigga, Mzee, Madame B, Heaven on Earth, manyasi, Mamndenyi, Baba V, Filipo, Erickb52, Chocs, Passion Lady, ladyfurahia, Judgement, Asprin, Dark City, charminglady, Fixed Point, PakaJimmy, MMAHE, KOKUTONA, Arabela, farkhina, DEMBA, Kaizer, kerucee, black woman, Smile, Munkari.. Mr Rocky, Ladymasa, Preta, marejesho, mwallu, amu, YNNAH, Jiwe Linaloishi Paloma, sosoliso, Slave, King'asti...at all
 
Last edited by a moderator:
uungwana ni vitendo,,,,,upendo ni kitu chema tena chenye thamani ,,,,,,,,,,,,mlioorodheshwa rudisheni mioyo yenu tuishi kama zamani,,,,,,****one love********
 
Kuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.
rudisha moyo shemeji mungu anataka tusameheane sio siri upande wao ulikuwa na watu wenye chuki na dhalii lakini uchaguzi umeisha tusameheane shemeji mie uchungu na hasira yangu yote nimeuyeyusha kwa barafu akhaaa kiroho safi rudisha moyo shemeji yangu mpenzi ,,,,,mwaaaaah,,,,pokea kisss langu,,,,hug,,,,na hivi na vile
 
najua basi..labda we shemeji mtu ataweza kukwambiaa
labda ngoja nimuulize eti shemeji Madame B ulitakiwa maneno gani dhalili???,,,,,,,,halafu dia Heaven on Earth hv ulichopaka hapo jichoni ni nini basi kuna siku nilizidiwa hadi nikayalamba hayo macho walai kumbe duh nikajishtuka nalamba screen ya laptop walai ;;;lol;;;;
 
Last edited by a moderator:
Kuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.

Hee!
Sasa Shem , hiyo sasa si itakua mibifu ya Kinyaru? Yaani lile debe nilokupigia ukaenda Kigali semina , gharimu yake ndo hii ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…