​ha ha ha unafikiri nilifumba???....thubutuuu na mombasa yote hii unataka niibiwe kisamvu???Nakudanganyaa
​ha ha ha unafikiri nilifumba???....thubutuuu na mombasa yote hii unataka niibiwe kisamvu???
ahaa! kuna zawadi za aina gani?
Ndio maaaaanaaaa.
Basi hanipati ng'oo.
Binamu, nilinde jamani.
teh teh! umelima kisamvu kaka mkubwa?
Nikiliona hili jina roho yangu unaniuma.
Alikuwa mume wangu huyo.
kwani mlivyoenda pangani, tayari ulishayafunga mabomu?
hahahaaa......... Mliachana ukiwa bado unampenda nini lol
niniiiiiiiJamani
Nilinde mie, utakula faida.
Huyo Jdgmnt atakuponza.
Hata mie ulinikwaza!
Hebu tutafute chaka lolote , ama nyumba inayoendelea kujengwa tukakae tuambizane tunasameheanaje!
hapana mkubwa..........lugha ya picha hiyoteh teh! umelima kisamvu kaka mkubwa?