Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Hivi huna habari kuwa Mdogo Wangu YNNAH anaolewa?
Ulishindwa jukumu lipi shem?
Ona sasa.....

Ni pale niliposimamishwa kazi !
Ndo nikawa sifai!
Btw nimeshapata kazi nyingine , yenye income kuzidi ya awali .
Atafaidi huyu mpya nilienae .
Swali la nyongeza ........
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mpendwa, I hate nobody but I hate dirty games!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna yale yanayotengenezwaga na wamasai pale kariakoo! aisee ni noma mvaaji wa hayo mabomu sharti awe makini sana na matumizi yake..

Hahahaaaa
Yani yale ni balaa....afu kuna yale ya Sonara.
Mvaliwaji huona bora ajilipue tu.
 
Ha ha haa
Mie kwangu niko safi 100%
Why jumapili Itabidi nije jumamosi ili unifanyie sala ya toba ofisini
kama yule nabii mwenzio alivyofanya ha ha haaa
Ngojeeni huo moto wenu hukoooo!!!

tusameheane tu kiroho sani,
halafu jumapili usiache kuja church pastor nakusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…