hili shindano likipigwa stop ndo utakuwa miss wa mwisho na wa historia halafu wa milele humu chit chat.mzee, mie na uzi gani tena, mie nina taji tu la umiss chit-chat sina uzi lol!
Btw uko poa wewe
Mie mzima aisee nammiss tu yule mdogo wako mwembambaa!
ni ule uzi wa kukupongeza nazani mzee anakumbushia huo nilikuta 7 pos quotes but ikawa deleted lol
yupo utamwona tu soon huwa hakosekani humu
ur so beautifullyhujaachaga tu