Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Pole wii.....i can imagine wii wangu ila vumilia tu....the same thing ndo inayonitokea wii wako hapa
USIOGOPE, niko nawe hadi ukamilifu wa dahari, sitokuacha.
Aisee jiapange...kwa mtindo wa 10000tsh utatoboa kweli?
halafu ushabiki ukizidi huwa natamani niwe golikipa nizuie magoli lol!!!
Hapana aisee
basi tukuite mnywa gongo wa zamani! vp zawadi eti
Wewe unaingilia usichokijua, FYI Lady doctor alikuwa anakunywa gongo, anavuta bange na kula utumbo wa kuku anayotengeneza The secretary pale TANDALE KWA TUMBO.
wii tatizo niko mbali na shemeji yako halafu nimemkumbuka kweli hadi naumwa
bidada huendi kanisani wewe?
mambo poa sana sana!
sijakuona siku tatu mbili hizi...
siendi mamboo
nipo tu majukumu ya kifamilia yananikabili
100000 ya wapi zimbabwe sio?
utakomaaaaaaaaaaaaaaaa
ya Tanganyika