ahahaa ilikuwa ni juzi tu nilikuwa nalala njaaaa,
lakini bwanaaaa amenikumbukaaaa
Mungu wangu uuu ameniokoaaa
tunaendaaaa kula teteeee,tunaenda kula teteee
Nyanyua shida juu, tupa kule!!! Then BANJUKA TU..!
Nakaribia kufika home, ni traffic jam tu ndio inanichelewesha, mke wangu mpenzi Lady doctor ataniona soon! Utakoma ww Bishanga kakutelekeza. Option 2 mfate Nyani Ngabu amalize shidazo.
kumbe na wewe uko vizuri sana kwenye haya makitu eeh
aisee hii kitu nani kaifufua?
huu uzi ni wa lini ulikua unaomba radhi ya nini nilipitwa hapa yaani ndo nauona hapa
Soma mpaka mwisho utaelewa tu...
#unasahausana.
nakumiss pia, tumekuwa adimu sana jukwaani