Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Inapendeza sana kitu kama hiki. Mivurugano ni mipango ya shetani.
 
Leo nilikuwa na shifti kwa mume mkubwa.
hahahaha...........hata mie sijapitamo kule kabisa maana wakubwa wale na mambo yao yakikubwa wananichanganyaga kweli walai naogopa nisije haribu siku bureeee.....:dance::dance:
 
Nimeshamsamehe toka moyoni mwangu Judgement.
Haya, unanipenda?
Nimeongeza kukupenda dufu ya mara!
Hebu kuja pande hii niku'hug !
But when hugin' proceed , take care coz "kono la elephant" halina macho!
Halijui huyu shemeji ! Huyu ma'mdogo!
Waja shtuka kabati ugokoni !
Na kono liko ndumwa !
 
Last edited by a moderator:
hahahaha...........hata mie sijapitamo kule kabisa maana wakubwa wale na mambo yao yakikubwa wananichanganyaga kweli walai naogopa nisije haribu siku bureeee.....:dance::dance:

Ila kule kutamu shem
 
Asante sana Mkuu kiwatengu na mkeo shansarie tuko pamoja
Umefanya jambo jema kuomba radhi na tumesamehe yote
 
Last edited by a moderator:
Inapendeza sana kitu kama hiki. Mivurugano ni mipango ya shetani.

dah! ni kweli Mzee, nilikuwa nakusubiria sana hapa tumalize tofauti zetu.
najua nilikukwaza sana!
nisamehe sana..
 
Last edited by a moderator:
Kuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.

Makwazo mengine huja ili ujifunze kwayo.

Msamehe na tuanze maisha upya. Unapoishi na watu utegemee makwazo.

.
 
Nimeongeza kukupenda dufu ya mara!
Hebu kuja pande hii niku'hug !
But when hugin' proceed , take care coz "kono la elephant" halina macho!
Halijui huyu shemeji ! Huyu ma'mdogo!
Waja shtuka kabati ugokoni !
Na kono liko ndumwa !

Binamu Mr Rocky....njoo unisaidie
 
Last edited by a moderator:
dah! ni kweli Mzee, nilikuwa nakusubiria sana hapa tumalize tofauti zetu.
najua nilikukwaza sana!
nisamehe sana..

Nilistukia jana, ndio maana nilikimbia moja kwa moja.

Hizo ni changamoto tu ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…