Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Hivi huna habari kuwa Mdogo Wangu YNNAH anaolewa?
Ulishindwa jukumu lipi shem?
Ona sasa.....
mhh shemegi unaozesha hata hunambiii...........dizaini za ushoga kazi sio nzuri shem umenikwaza******:frown::frown:
 
Poa kiwatengu ndivyo maisha yanavyotakiwa yawe.

Hata mimi nasema kuwa sina tatizo na Mzee, 24hrs :Kuhusu Arushaone kwa kuwa anajua matatizo yangu
tokea zamani naamini pia hana neno na mimi.

Hata wale wachache tuliojibizana kwa haraka haraka
nasema samahani saaaana;
 
Last edited by a moderator:
tusameheane tu kiroho sani,
halafu jumapili usiache kuja church pastor nakusubiri
 
Makwazo mengine huja ili ujifunze kwayo.

Msamehe na tuanze maisha upya. Unapoishi na watu utegemee makwazo.

.

Asante Mzee.
Nimeona mahali umeamkiwa....
Ni kweli, ukiudhiwa A jua B utacheka.
 
Last edited by a moderator:


Bora umekuja.

Basi nachana chana hii karatasi yangu ya malalamiko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…