Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Hata mie ulinikwaza!
Hebu tutafute chaka lolote , ama nyumba inayoendelea kujengwa tukakae tuambizane tunasameheanaje!

naona mkubwa unatumia overtechnique theory! kupata kitu
 
Ha ha haa
Ulinidis sana ila nimeshasahau;

Chaka ha ha haaa huogopi snake weye,
shauri zako.

Hata mie ulinikwaza!
Hebu tutafute chaka lolote , ama nyumba inayoendelea kujengwa tukakae tuambizane tunasameheanaje!
 
naona mkubwa unatumia overtechnique theory! kupata kitu
atamuweza Madame B??? huyo ni bingwa wa mi..b...o....r mikubwa sasa namshangaa anavyomwita kwenye chaka na majumba yasoisha atamfikisha vipi??
 
Last edited by a moderator:
Nachokiona hapa ni kuwa watu wanajaribu kuigiza maneno kinyume na uhalisia wa mioyo yao!

Anyways......mi napita tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…