Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Mhhh jihadhari hapo binamu Madame B hiyo hug hiyo itakupeleka siko maana swahiba Judgment huwa hapotezi penalty hata moja yaani akipewa nafasi tuu ujue ni hatari langoni

ha ha ha ha! kwa hiyo anamaliza regardles magoli yana upana gani!
 
Last edited by a moderator:
Kaka, Arushaone alikuwa mume wangu kabisa
Baada ya kusafiri ndo akampata Lady doctor.
Narudi safari, nakuta wamefunga ndoa

jamani pole sana! hukuwa na updates zozote zile ndiyo maana ukazidiwa. pole na watumie kina Ben vizuri
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa
Ulinidis sana ila nimeshasahau;

Chaka ha ha haaa huogopi snake weye,
shauri zako.

Niogope snake ! Na ndo juzi nimetoka Drc , baada ya kumaliza zamu kwenye kulinda amani .
Snake vs M23 mkali nani ?
Staki unijibu , coz najua wajua jibu .
Ngoja mie niendelee ku'search Fursa .
 
Nachokiona hapa ni kuwa watu wanajaribu kuigiza maneno kinyume na uhalisia wa mioyo yao!

Anyways......mi napita tu!

Tushakuwa na mioyo myeupe! Avemaria sisi tunasameheana kweli..tunaganga yajayo, yaliyopita tuna tupa kuleee..
tupendane tena!!
 
Last edited by a moderator:
Ninakujibu;
........ drc = mushi = ufoo ............ ngashtuka kapisa meeku oko.

Niogope snake ! Na ndo juzi nimetoka Drc , baada ya kumaliza zamu kwenye kulinda amani .
Snake vs M23 mkali nani ?
Staki unijibu , coz najua wajua jibu .
Ngoja mie niendelee ku'search Fursa .
 
Asante.
Ndio maana safari hii nimejifunga mabomu kiunoni ili kumlinda Ben

ha ha ha ha! hayo yakiuoni utayatumiaje ukiwa mbali? ni ya rangi gani kwani, cheki yasilipuke
 
Niogope snake ! Na ndo juzi nimetoka Drc , baada ya kumaliza zamu kwenye kulinda amani .
Snake vs M23 mkali nani ?
Staki unijibu , coz najua wajua jibu .
Ngoja mie niendelee ku'search Fursa .

Ulimwacha Chimbuvu kwao?

Na sikia fujo za huko ni uchochezi wa akina Amavubi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…