Tupende na Kujali NYETI zetu.

Asante mkuu!!! Ebu nianze kununua makufuli ya buku teni!!!
Me namuiga gigy money!!! No kyupi... Mwendo wa kupunga upepo
hiyo inakuaga poa sana,sema kwa sisi men tunavaa tu boxer kwa dharura maana kuna muda mzee huwa anachukia publicly sasa mpaka ukae chini kuzuga ili mzee atulie sio leo
 
Hivi...mh. Mimi nashangazwa, Hivi unayajuaje haya yoote.????!!!
 
Umenena vyema, zaidi kiafya uliyoyanena ndio yanasaidia, sema umenifurahisha zaidi hapa
"Papuchi unakuta imezungukwa na nywele utadhani inavuta weed kama marasta fari"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii nayo waziri wa Afya inamuhusu,inabidi alitolee ufafanuzi kwa nini raia wake ni wakaidi wa kuvaa kyupi
 
Hili ni somo gumu kwa Sisi waswahili,

Nyeti za Msawahili zinamambo mengi-Tujaribu kuzitunza kwa usafi wa hali ya Juu haswa dada zetu .
 
Kuna uzi aliuleta Ray van Boy wasichana iliyowagusa wakamtukana mpaka baasi.
Ngoja nisubirie mapovu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…