TUPENI ABC Kwa sisi tunaotaka kuagiza laptop Zanzibar ushuru ukoje

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi

Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru

Nawasalisha

Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
 
Kwa kawaida hautatozwa ushuru kwa kuwa na laptop yako kwenye begi kwa vile ni kawaida watu kusafiri back/forth na laptop.
 
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi

Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru

Nawasalisha

Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
Hakuna biashara unaweza kufanya kwa kuagiza kutoka Zanzibar bidhaa, labda Pweza.

Kama ni wale jamaa wa mtandaoni wote ni matapeli, usije kuona bei za bure mitandaoni ukavutiwa, wale ni matapeli wote.
 
niagize mimi nikutumie kwa posta, inafika salama kabisa.. nunua nikuchulie mzigo niutume kwa posta
 
Laptop haina ushuru kabisa ! Hivo ukinunua basi uko huru kuingia nayo hata uwe nazo mia moja hakuna ushuru
 
Hakuna biashara unaweza kufanya kwa kuagiza kutoka Zanzibar bidhaa, labda Pweza.

Kama ni wale jamaa wa mtandaoni wote ni matapeli, usije kuona bei za bure mitandaoni ukavutiwa, wale ni matapeli wote.
Asee
 
Back
Top Bottom