Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Akiagiza wa Mtandaoni 99.99999% ni R.I.P.Unataka kwenda mwenyewe kununua au unaagiza wale jamaa wa mtandaoni?
Kwa kawaida hautatozwa ushuru kwa kuwa na laptop yako kwenye begi kwa vile ni kawaida watu kusafiri back/forth na laptop.Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi
Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru
Nawasalisha
Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
Mtu unaweza kufanya business ya kufuata laptop Zenji?Kwa kawaida hautatozwa ushuru kwa kuwa na laptop yako kwenye begi kwa vile ni kawaida watu kusafiri back/forth na laptop.
Hakuna biashara unaweza kufanya kwa kuagiza kutoka Zanzibar bidhaa, labda Pweza.Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi
Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru
Nawasalisha
Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
Kwenda mwenyeweUnataka kwenda mwenyewe kununua au unaagiza wale jamaa wa mtandaoni?
Nipo chimbo mzee niende mwaka ninunue laptop yanguLaptop haina ushuru kabisa ! Hivo ukinunua basi uko huru kuingia nayo hata uwe nazo mia moja hakuna ushuru
AseeHakuna biashara unaweza kufanya kwa kuagiza kutoka Zanzibar bidhaa, labda Pweza.
Kama ni wale jamaa wa mtandaoni wote ni matapeli, usije kuona bei za bure mitandaoni ukavutiwa, wale ni matapeli wote.