Tupeni basi Connection Wazee wa hivi vitu?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Asee habari humu!? Hamjambo wote,

Niende kwenye mlengo wangu moja kwa moja kuna inshu imetokea kwenye zile za kupata vitu free, kwa watu zimeloga, ila najua kwa kuna watu bado wana ujuzi humu, ila kuwajua wakupe michakato jinsi ndo shida,

Tupeni connection za kuzipata au tuzichaji tu kwa dollar sahivi
 
Ile kitu ya kuserereka tu bila grease kwenye mitandao
 
Hata NETFLIX kuna watu nasikia wanauza,ukiipata unakua una streaming for freeeeee monthly, yearly no fee to top up again
 
Hamnaga kitu kama hicho ever[emoji41] kama hivyo Netflix wangekua Bankrupt
 
Mimi natumia Ha Tunnel kupata nerwork ya free.[emoji125][emoji125]
 
Watu wana hack database ya world bank [emoji542] sembuse Netflix
Nani atapoteza mda kuhack Netflix wakati zipo sites kibao zinazoonesha Netflix shows zilizokuwa ripped kutoka Netflix? Kuna app kibao tu zinaonesha Netflix shows kutoka torrent sites. Hizi ndio watu wanauziwa huku mtaani na kuambiwa ni cracked Netflix lakini sio.

Alafu zikuhizi kuna mambo ya DRM & SafetyNet. Kubypass SafetyNet sikuhzi ni kazi sana, Google wamebana. Na karibia app zote za banking na streaming zinatumia DRM na SafetyNet. Ukisema u root simu ili uchokonoe configuration za apps SafetyNet inakubana na unapoteza DRM keys. Kuhack app inayotumia DRM & SafetyNet ni kazi sana.

Maguru wa rooting huko akija John Wu wameshindwa kupatch SafetyNet sshv na wengi wao wameshaajiriwa na Google & Apple kabisa.

Kwa mfano app kma ya DStv Now haifanyi kazi hata kwa dawa ukiroot simu yako au kunlock bootloader.
 
Safi umekua mfuatiliaji mzuri, umetoa maelezl tosheleza mzee, hebu tuchekiane pm unipe jambo la ku share vitu vitu flani
 
Back
Top Bottom