Hata NETFLIX kuna watu nasikia wanauza,ukiipata unakua una streaming for freeeeee monthly, yearly no fee to top up again
Watu wana hack database ya world bank [emoji542] sembuse NetflixHamnaga kitu kama hicho ever[emoji41] kama hivyo Netflix wangekua Bankrupt
Kwa wengine inagoma asee,,hem tupe ujuziMimi natumia Ha Tunnel kupata nerwork ya free.[emoji125][emoji125]
Nani atapoteza mda kuhack Netflix wakati zipo sites kibao zinazoonesha Netflix shows zilizokuwa ripped kutoka Netflix? Kuna app kibao tu zinaonesha Netflix shows kutoka torrent sites. Hizi ndio watu wanauziwa huku mtaani na kuambiwa ni cracked Netflix lakini sio.Watu wana hack database ya world bank [emoji542] sembuse Netflix
Safi umekua mfuatiliaji mzuri, umetoa maelezl tosheleza mzee, hebu tuchekiane pm unipe jambo la ku share vitu vitu flaniNani atapoteza mda kuhack Netflix wakati zipo sites kibao zinazoonesha Netflix shows zilizokuwa ripped kutoka Netflix? Kuna app kibao tu zinaonesha Netflix shows kutoka torrent sites. Hizi ndio watu wanauziwa huku mtaani na kuambiwa ni cracked Netflix lakini sio.
Alafu zikuhizi kuna mambo ya DRM & SafetyNet. Kubypass SafetyNet sikuhzi ni kazi sana, Google wamebana. Na karibia app zote za banking na streaming zinatumia DRM na SafetyNet. Ukisema u root simu ili uchokonoe configuration za apps SafetyNet inakubana na unapoteza DRM keys. Kuhack app inayotumia DRM & SafetyNet ni kazi sana.
Maguru wa rooting huko akija John Wu wameshindwa kupatch SafetyNet sshv na wengi wao wameshaajiriwa na Google & Apple kabisa.
Kwa mfano app kma ya DStv Now haifanyi kazi hata kwa dawa ukiroot simu yako au kunlock bootloader.
Haina nomaSafi umekua mfuatiliaji mzuri, umetoa maelezl tosheleza mzee, hebu tuchekiane pm unipe jambo la ku share vitu vitu flani
Hapana. Mm sijui hayo mambo mkuuMkuu kama nawe unaweza hivi vitu vya free tupe ata darasa tuvitafute
Oya Mimi mbona saivi Ha tunnel saivi umeloga...wewe bado inaload?Mimi natumia Ha Tunnel kupata nerwork ya free.[emoji125][emoji125]