Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.”
Wimbo huu utagusia suala zima la bandari ambalo ndio jambo linalojadiliwa zaidi hapa nchini kwa sasa.
Kaa mkao wa kutega sikio muda wowote kuanzia sasa ngoma itakuwa hewani, matarajio yako ni yapi?