Tupeni FEEDBACK sasa! Inamaana Mnaomba wachumba HAMUWAPATI?

Tupeni FEEDBACK sasa! Inamaana Mnaomba wachumba HAMUWAPATI?

Umeuliza swali lenye mantiki mkuu....tumezoea kutafuta ila aliyepata hatuna record zake...Au limekuwa fumbo kama la kifo??????????????
 
Aah,mim tangu nianze cjampata et,mpaka nahis hapa jamvin pana wanaume tupu
 
Nilikutana na changamoto za kutosha.
Nilikutana na applications nyingi.
Nilikutana na ugumu wa kufanya maamuzi thabiti.
Nilitukanwa, nili nuniwa, nilidhihakiwa and ect.
Kwahakika nilikutana na wakati mgumu kiujumla, na nashukuru mungu NIMEMPATA mdada wa haja ya moyo wangu.
 
nilikutana na changamoto za kutosha.
Nilikutana na applications nyingi.
Nilikutana na ugumu wa kufanya maamuzi thabiti.
Nilitukanwa, nili nuniwa, nilidhihakiwa and ect.
Kwahakika nilikutana na wakati mgumu kiujumla, na nashukuru mungu nimempata mdada wa haja ya moyo wangu.

hongera
 
hallo!

Nilikutana na changamoto z
a kutosha.
Nilikutana na applications nyingi.
Nilikutana na ugumu wa kufanya maamuzi thabiti.
Nilitukanwa, nili nuniwa, nilidhihakiwa and ect.
Kwahakika nilikutana na wakati mgumu kiujumla, na nashukuru mungu NIMEMPATA mdada wa haja ya moyo wangu.
 
siriazi tena kuna watu wapo siriazi humu mie nilichukulia utani sana na mpaka sasa roho inanisuta loo
nili hukua tangazo la mtu mwaka jana octoba tukaanza kuwasiliana mie sikuwa siriazi kiivyo mjamaa yuko siriazi balaa hamadi kwa wazazi,matunzo juu juu
mhhh mie nikajitoa hapo ikabidi nifanye vituko vituko niharibu ila mjamaa alikuwa gt wa ukwelli hakukata tamaa daamn ikabidi nimuambie ukweli tu aliumia sana.
I hope atapata wa ukwee humu.
 
Back
Top Bottom